
Kenya imeondolewa hatua ya robo fainali CHAN 2024
TIMU ya Taifa ya Kenya imefungashiwa virago kwenye CHAN 2024 katika hatua ya robo fainali mbele ya Madagascar kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Hawa ni majirani wetu na wenyeji wa CHAN 2024 ambapo mchezo wa leo Agosti Uwanja wa taifa wa Moi mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa ulichezwa. Kenya ilikuwa inapewa nafasi…