
VIDEO:ISHU YA JONAS MKUDE KUTEMWA SIMBA JEMBE AFUNGUKA
JEMBE afungukia ishu ya Jonas Mkude Simba
JEMBE afungukia ishu ya Jonas Mkude Simba
BENCHI la ufundi la Singida Big Stars limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Timu hiyo inayonolewana Kocha Mkuu, Hans Pluijm inapambana na mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Pluijm amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo…
MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini imegotea katika hatua ya nusu fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Sare ya kufungana mabao 2-2 Wydad Casablanca Waarabu kutoka Morocco imewaondoa kwenye reli wababe kutoka Afrika Kusini. Ni mabao ya Themba Zwane dakika ya 50 na Peter Shalulile dakika ya 79 kwa upande wa Mamelodi Sundowns ilikuwa hivyo. Wydad…
ISHU ya kukosa ubingwa miaka miwli kwa Simba Jembe amvaa Mo
KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo. Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake Tuzo za Ligi Kuu Bara Tuzo za Utawala Tuzo za Ligi nyingine Hizi ni…
KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo. Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake Tuzo za Ligi Kuu Bara Tuzo za Utawala Tuzo za Ligi nyingine Hizi ni…
UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lite, Mei 21 na mshindi wa mchezo huo atatinga hatua ya fainali. Ni Azam FC itakuwa inawatazama wababe hawa wawili kujua nani atacheza naye hatua ya…
KASI ya Yanga kwenye mashindano ya kimataifa ni darasa huru kwa kila mmoja apate kujifunza namna ya kutumia bahati na nafasi inayotokea. Hakuna timu ambayo haipendi kupiga hatua kila siku na kuandika rekodi mpya na nzuri hilo lipo wazi hivyo kwa sasa mfano bora wa kuzungumzia kwenye kizazi cha sasa ni Yanga. Mfumo ambao wameutumia…
MAYELE atikisa Afrika, Mbrazil Simba atangaza balaa zito ndani ya Championi Jumamosi
NI rasmi timu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja na haitakuwa sehemu ya timu za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 huku timu za Polisi Tanzania, Mtibwa Sugar na KMC zikipambania hatma yao kwenye michezo miwili waliyobakisha kumaliza ligi. Kwa misimu ya hivi karibuni Ligi Kuu Bara imekua na ushindani mkubwa ambapo uwekezaji mkubwa uliofanywa…
KOCHA msaidizi wa Polisi Tanzania, John Tamba amesema kuwa wanatambua ushindani uliopo kwenye ligi ni mkubwa watapambana kushinda mechi zilizobaki ili kufufua matumaini ya kubaki ndani ya ligi. Vinara wa Ligi Kuu Bara ni Yanga ambao wametwaa taji hilo kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na pointi 74 na wana mechi mbili mkononi. Polisi Tanzania…
KOCHA Mkuu wa Namungo, Dennis Kitambi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Simba umewapa nguvu ya kufanya vizuri kwenye mechi ambazo zimebakia. Namungo ilipokutana na Simba kwenye mchezo wa ligi ilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 mchezo wake dhidi ya Azam FC ilishinda mabao 2-1. Kitambi amesema kuwa wachezaji baada ya kucheza mchezo dhidi ya Simba…
MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Simba, Saido Ntibanzokiza na Clatous Chama ni mvurugano mtupu kwenye kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wao mtambo wao wa mabao ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 kibindoni. Wakati Chama ambaye ni kinara wa kutenegenza…
Nini Mwarabu? Tunalitaka Kombe CAF, Baleke afunguka mazito Simba ndani ya Championi Ijumaa
KWA msimu wa 2022/23 Simba imefeli kwenye kila kitu lakini wachezaji wake wamefaulu kwenye kutengeneza namba nzuri ambazo hazijawa msaada kwa Simba. Ipo wazi kuwa mchezaji mmoja anashinda mchezo na timu inashinda taji imekuwa hivyo kwa Yanga ambao wameshinda taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Simba imegotea nafasi ya pili ikiwa na pointi…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa Yanga Mei 19 wamewasili salama kwenye ardhi ya Tanzania. Msafara wa Yanga ambao umepita kwenye njia ngumu kusaka mafanikio umewasili ukitokea Afrika Kusini ulipokuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Gallants Marumo. Ni hatua ya fainali imetinga ikiwa na ushindi wa jumla ya mabao 4-1 hatua kubwa…