


MPIRA ULIANZIA WAPI? PESA ZINATOKA WAPI?
Historia ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu ulikuwa unachezwa mjini na baadae ukahamishiwa kuchezwa kwenye shule za umma. Mwaka 1865 Uingereza waliamua kuurasmisha mchezo huu pendwa na kuunda Chama cha Soka (FA) kitakachokuwa kinasimamia kanuni na sharia za mpira. Baada…

VIDEO:MO DEWJI AFUNGUKIA ISHU YA RUSHWA /KUUZA MECHI
MO Dewji afungukia ishu ya rushwa,kuuza mechi

JULIO AKABIDHIWA WANA KINO BOYS
JAMHURI Kihwelo,’Julio’ atakuwa ndani ya KMC kwenye mechi nne ambazo zimebaki msimu wa 2022/23. Ni Hitimana Thiery alikuwa anakiogoza kikosi hicho mkataba wake umevunjwa baada ya makubaliano ya pande zote. Yote hayo yalifanyika Aprili 13,2023 ambapo tayari Julio ametambulishwa kwa ajili ya kuwanoa Wanakino Boys. Mchezo wa mwisho Hitimana kukiongoza kikosi cha KMC alishuhudia ubao…

NABI KAKIMBIZA DAKIKA 990
Novemba 29,2022 ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo kupoteza pointi tatu ndani ya ligi wakivunjiwa rekodi ya kucheza mechi 49 za ligi bila kufungwa na kutibua mpango wa kufikisha mechi 50 ndani ya ligi. Baada ya hapo Yanga imecheza mechi 11 bila kupoteza…

KITAWAKA,MORRISON AKABIDHIWA SIMBA
KITAWAKA, Morrison akabidhiwa Simba, Manula,Inonga fiti kuwavaa Yanga ñdani ya Championi Ijumaa.

WAKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO HAWA HAPA
KATIKA orodha ya mastaa wenye pasi nyingi za mabao kiungo wa Simba, Clatous Chama ni namba moja akiwa nazo 14 kibindoni. Moja kati ya pasi hizo alitoa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani wa jadi Yanga, mzunguko wa kwanza Oktoba 23,2022. Kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-1…

KIPA SIMBA AWEKA REKODI YAKE MATATA
ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba amekiwasha ndani ya dakika 90 ikiwa ni mchezo wake wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara akifanikiwa kusepa na dakika 90 bila kutunguliwa. Salim hakuwa chaguo la kwanza ndani ya Simba ambapo chaguo la kwanza ni Aishi Manula na namba tatu ni Beno Kakolanya. Salim hata msimu wa…

Wiki ya Mabingwa Odds kubwa Meridianbet
Hatua ya Robo fainali ya UCL itaanza leo tena kwenye viwanja tofauti Ulaya, ni mechi mbili Man City vs Bayern Munich na Benfica Vs Inter Milan. Meridianbet inakuhakikishia unapata Odds kubwa na machaguo Zaidi ya 1000+ Tembelea www.meridianbet.co.tz kubashiri soka na kucheza kasino ya mtandaoni. Odds kubwa za Jumanne ya Mabingwa Ni vita vya mbinu…


WIMBO MPYA WA CHRIS JABARI SINA MASHAKA HUU HAPA
NI yake Chris Jabari, Njombe Finest ikiwa ni mpya kabisa inaitwa Sina Mashaka leo ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani na hii ni kazi ya kwanza kwa 2023 nyingine zinakuja kwake Sina Mashaka

VINARA WA LIGI KUFANYIWA MAZOEZI MAALUMU
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wao wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 16 huku wachezaji wote wakiwa fiti. Miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao hawakuwa fiti hivi karibuni ni Shomari Kapombe aliyepata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

VIGOGO SIMBA SC WAMFUNGIA KAZI NABI WA YANGA
VIGOGO Simba SC wamfungia kazi Nabi wa Yanga ndani ya Spoti Xtra Alhamisi


HALI NI NGUMU KWELIKWELI TIMU ZIPAMBANE
KAZI ni ngumu wa kweli kwa sasa kutokana na ligi kuwa karibu na mwisho huku kila timu ikizidi kupambana kusaka ushndi ndani ya dakika 90. Hakika mwendelezo wa baadhi ya timu kwenye uwanja sio mzuri kutokana na matokeo ambayo wanayapata kuwa hayana a furaha kwao. Licha ya hayo kutokea ni muhimu kuzidi kuwa na mipango…

IHEFU FUPA GUMU KWA SIMBA
KLABU ya Ihefu yenye maskani yake Mbeya ndani ya dakika 270 katika mechi tatu tofauti imekwama kusepa na ushindi mbele ya Simba. Ilikuwa katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo ubao ulisoma Simba 1-0 Ihefu katika mchezo wa mzunguko wa pili ubao ulisoma Ihefu 2-0 Simba Uwanja wa Highland Estate. Katika msako wa…

VIDEO;MO DEWJI AFUNGUKIA ISHU YA KUGOMEA BILIONI
MO Dewji afungukia ishu ya kugomea bilioni Simba