Home Sports VIDEO:KUMBE YANGA WANAJUA MBINU NA UBORA WA WAARABU

VIDEO:KUMBE YANGA WANAJUA MBINU NA UBORA WA WAARABU

BEKI wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wanatambua ubora wa wapinzani wao USM Alger na wamejiandaa kufanya kazi nzuri kwenye kuzuia kesho mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa

Previous articleYANGA WAPENI FURAHA WANANCHI INAWEZEKANA
Next articleWASIWASI DAWA, WAARABU SIO WA KUWABEZA