Home Sports VIDEO:IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI WA SIMBA QUEENS/AFUNGUKIA MAISHA

VIDEO:IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI WA SIMBA QUEENS/AFUNGUKIA MAISHA

MWANAHAMISI Omary, ‘Gaucho’ afungukia kuhusu maisha yake na kile ambacho anapenda kukifanya kila siku kwenye maisha yake.

Nyota huyo ni miongoni mwa Legend kwenye  Soka la Wanawake na walipokuwa wakikutana na watani zao wa jadi Yanga Princess alikuwa akiwapa tabu ndani ya uwanja.

Previous articleMAYELE:HAWA USM ALGER SIWAACHI, BOSI SIMBA APEWA FAILI LA MKATA UMEME
Next articleYANGA WAPENI FURAHA WANANCHI INAWEZEKANA