
MATOLA:WACHEZAJI WANAFURAHIA MAZOEZI,KESHO TENA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wamezidi kuyafurahia mazoezi ambayo wanayafanya nchini Misri na wanapiga hatua kila wakati. Kikosi hicho kwa sasa kipo nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 ambao unatarajiwa kuanza Agosti. Matola amesema:”Kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wanayafurahia mazoezi kwa sasa ambayo tunayafanya na tulianza…