
KIUNGO WA KAZI YANGA AAHIDI KUWAFUNGA WAARABU
KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Pacome ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 3 2023
KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Pacome ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 3 2023
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umechukua muziki kamili wa benchi la ufundi ambalo litakuwa na kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo Ipo wazi kuwa Novemba 5 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga mambo yalibadilika kwenye benchi la ufundi, Roberto Oliveira aliyekuwa kocha mkuu alisitishiwa mkataba wake Novemba 7….
Kama kijana najua una ndoto nyingi za mafanikio kulingana na hali ya uchumu ilivyo sasa nchini. Basi Meridianbet wanakuambia hivi ukibashiri na wao kutimiza ndoto zako ni rahisi sana kwani huku wamekuwekea kila ambacho unakitaka wewe. Bashiri sasa mechi za UEFA hapa. Hebu tuanze pale katika jiji la Italia ambapo Lazio Rome atakuwa mwenyeji wa…
Klabu ya Simba imefanya mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kujibu maswali tofautitofauti baada ya kumtangaza Kocha wao mpya Abelhak Benchikha. Moja ya mambo yaliyoongelewa na Benchikha ni kwamba yeye hatoangalia jina la mchezaji bali ataangalia uwezo wa kila mchezaji uwanjani ili ajue kikosi alichonacho. Zaidi sana Benchikha amesema anataka ushirikiano kutoka kwa…
Mwili wa kijana Mtanzania, Clemence Felix Mtenga aliyeuawa nchini Israel kufuatia mapigano kati ya majeshi ya nchi hiyo na wapiganaji wa Hamas, umewasili nchini ambapo leo umeagwa nyumbani kwa wazazi wake, Kirwa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro huku taratibu za mazishi zikiendelea.
MZUNGUKO wa kwanza bado unaendelea kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba kwa sasa timu nyingi zinapambana kufanya vizuri na kupata matokeo ndani ya uwanja. Kila timu inafanya vizuri ndani ya dakika 90 kusaka ushindi. Kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi husika haina maana kwamba kazi itakuwa imekwisha hapana ni muhimu kupambana zaidi kwa…
Neno Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha gani? Iko hivi Kasino ni sehemu nzuri yenye kila kitu cha kufurahi, ikiwemo michezo mingi na rahisi kushinda, Makamaria wengi hupenda kucheza na dau kubwa ili upate ushindi mkubwa ndiyo maana Merdianbet imeamua kuusogeza mchezo huu mpaka kiganjani mwako na unaweza kucheza kasino mtandaoni popote ulipo….
MPANGO mkubwa wa Simba ni kupata matokeo mazuri kwenye mechi ambazo wanacheza. Kutokana na mwendo wao wa kusuasua kuna panga lnatarajiwa kupita kwenye dirisha dogo huku baadhi ya nyota wakitajwa kuwa kwenye mpango wa kupewa mkono wa asante.
NYOTA Gerald Mdamu aliyewahi kukipiga ndani ya Polisi Tanzania bado anapambania hali yake ili kurejea kwenye ubora wake mdogomdogo baada ya kuumia mguu walipopata ajali ya gari wakitokea mazoezini. Julai 9 2021 ilikuwa ni ganzi ya maumivu kwenye ulimwengu wa mpira baada ya ajali hiyo kutokea na mchezaji aliyeumia zaidi kuliko wote alikuwa ni Mdamu….
RASMI uongozi wa Simba umewatambulisha makocha wapya watatu ambao watakuwa na kikosi hicho kutimiza majukumu yao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Usiku wa kuamkia Novemba 28 makocha hao wametua Bongo na kupokelewa na viongozi wa Simba wakiongozwa na Mtendaji Mkuu Imani Kajula. Timu hiyo ilisitisha mkataba wa Roberto Oliveira Novemba 7 muda mfupi baada…
NDANI ya dakika 270 kwenye mechi tatu za ligi, Azam FC wamekimbiza kwa kukomba pointi zote tisa walizokuwa wakisaka ndani ya uwanja. Chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kwenye mechi tatu mfululizo ilikuwa ni kicheko kwao huku maumivu yakiwa kwa wapinzani wao. Ilianza na kete ya ugenini ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa…
Mestalla, nyumbani kwa Valencia CF, ni uwanja wa zamani zaidi katika LALIGA na pia mojawapo ya viwanja vyenye mvuto zaidi. Mazingira yenye shauku yanakwenda mbali hata kabla ya mechi, hasa kutokana na uamuzi wa Valencia CF wa kushirikiana na wasanii na ma DJ katika mechi zao za nyumbani. Kwa hali inavyokwenda hapa nchini kwa…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, Yanga imesaini mkataba wa muda wa siku saba wenye thamani ya milioni 40 ikiwa ni milioni 20 kila siku. Ni mkataba kati ya Yanga SC dhidi ya Zanzibar Investment Promotion Authority, (ZIPA) na Zanzibar Revenue Authority, (ZRA) ikiwa ni siku maalumu…
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe ameendelea kuwa mteja wa mpinzani wake Tshimanga Katompa raia wa DR Congo kufuatia kukubali kichapo kwa mara ya pili mfululizo. Katika pambano hilo ambalo limepigwa juzi usiku kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha chini ya promosheni ya Red in Lady Promotion inayoongozwa…
MENEJA wa idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa mwendo ambao wanakwenda nao kwenye mechi za kimataifa haujawa mzuri jambo linalowaongezea ugumu kupata matokeo kwenye mechi zijazo. Timu hiyo Novemba 25 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Hatua ya Makundi….
BODI ya Filamu Tanzania imekamilisha mchujo wa pili wa filamu ambazo zitakwenda kushindaniwa katika kupata washindi wa Tamasha la tuzo za Filamu kwa mwaka 2023. Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msingwa alisema kuwa Tuzo za Filamu Tanzania zimechochea uanzishwaji wa tuzo nyingine hapa nchini, ikiwemo zile za wadau kupitia vyama ambavyo wamevianzishwa…
WAWAKILISHI wa kimataifa kwenye mechi za kimataifa nyumbani na ugenini hakuna ambaye ameanza kwa mwendo mzuri.Ipo wazi kuwa ni mwendo mbovu wameanza nao kwa kushindwa kupata matokeo. Kutokana na kuanza hivyo kwa kushindwa kushinda huku wachezaji wakionekana kutotumia nafasi wanazotengeneza ni muhimu kutumia ubovu huo kuwa darasa huru kwenye mechi zinazofuata. Yanga na Simba katika…