
MWAMBA NGOMA NDANI YA SIMBA ANA BALAA
SIO kila vita ni yakushinda unaambiwa hivyo lakini kuna wakali wa kazi wanaoonyesha utofauti kwenye kufanya kile ndani ya uwanjani. Katika kikosi cha Simba kuna jamaa anaitwa Fabrice Ngoma ana balaa akiwa uwanjani kwenye pasi fupi na defu ambazo ni elekezi pamoja na uwezo wa mipira ile ya juu. Tupo naye kwenye mwendo wa data…