


YANGA: TULETEENI HAO AL AHLY TUWAONESHE
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Yanga na Al Ahly wapo Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu sambamba na timu za CR Beluoizdad ya Algeria na Madeama kutoka Ghana. Katika michezo miwili ambayo…

TP MAZEMBE YATOLEWA AFL, ESPERANCE KUCHEZA NA WYDAD NUSU FAINALI
TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesukumizwa nje ya michuano ya African Football League kufuatia kipigo cha jumla cha 3-1 dhidi ya vigogo wa Tunisia, Esperance de Tunis. FT: ESPERANCE 3-0 TP MAZEMBE (Agg. 3-1) 45’—⚽️ Oussema Bouguerra 76’—⚽️ Oussema Bouguerra 86’—⚽️ Mohamed Tougai Mazembe ilishinda 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza…

ALHAMISI YA MAOKOTO NDIO HII HAPA, MOTO UTAWAKA EUROPA CONFERENCE
Habari mteja wa Meridianbet baada ya siku hizi mbili kushuhudia mitanange ya ligi ya Mabingwa, sasa ni zamu ya ligi ya Konferensi ambapo kila kitu umeshawekewa. Ingia www.meridnabet.co.tz na uanze kubashiri sasa. HSK Zrinjski Mostar atakiwasha dhidi ya Legia Warszawa huku wote wakiwa wamefungana pointi wakiwa nazo 3. Leo kila timu inahitaji ushindi iongoze kundi….

BEKI WA KAZI AREJEA YANGA
HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa beki wa kazi wa timu hiyo raia wa Ivory Coast, Yao Kouassi Attohoula, amepona majeraha na yupo tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa kesho Ijumaa. Mbali na Yao, pia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Farid Mussa, naye amerejea kikosini baada…

PIGA MKWANJA KUPITIA UEFA, EUROPA LEAGUE ALHAMISI HII
Europa league kurudi viwanjani usiku wa leo, huku kukiwa na hamasa kubwa nje na ya uwanja na ndani ya uwanja ili kuhakikisha kila timu inafanikiwa kupata alama tatu muhimu, Meridianbet ina mzigo wa kutosha wa kuweza kukufanya umalize siku yako vizuri ni wewe tu kuchagua ni timu gani uweke bashiri yako. Mechi zote za 30…

HAKIKISHA UNAFANYA HAYA KWENYE MCHEZO WA ZOMBIE APOCALYPSE
Unapoicheza ndivyo utamu unavyozidi kuwa mwingi, mchezo mzuri na wenye mandhari ya sinema za Mazombie unakupa uhuru wa kujitafuta mara tu unapouanza kuucheza, furahia ushindi mwingi unapoingia kasino ya mtandaoni na kisha kuchagua mchezo wa Zombie Apocalypse. Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni Zombie Apocalypse una mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto…

UKUTA WA SIMBA PASUA KICHWA
KATIKA mechi tano mfululizo walizocheza Simba hawajaambulia clean sheet, (kucheza bila kuruhusu bao) zaidi ya kutunguliwa mabao sita. Makosa yapo katika eneo la kiungo anapocheza Mzamiru Yassin, Fabricne Ngoma, beki anapocheza Henock Inonga, Che Malone, mlinda mlango Ally Salim, Ayoub Lakred. Ni Ally Salim kosa lake kubwa ni katika kupangua mipira langoni mwake mingi inaishia…

AZAM FC KUMEKUCHA WAANZA NA HILI
BAADA ya kuambulia kichapo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, matajiri wa Dar Azam FC wameanza maandalizi. Ni Mzizima Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 3-2 Azam FC ambapo Aziz Ki aliandika rekodi ya kufunga hat trick katika mchezo huo. Mabao ya Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo yalifungwa na…

JOB MTU WA KAZIKAZI YANGA
DICKSON Job beki bora wa msimu wa 2022/23 bado anaonyesha thamani yake uwanjani kuwa ni chuma cha kazi kutokana na kuwa ni chaguo la kwanza la Miguel Gamondi. Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ni shuhuda timu hiyo ikikomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC kwenye Mzizima Dabi kwa mabao ya Aziz KI…

DODOMA JIJI KUMEKUCHA, MASHUJAA YAWAKUTA
WAKIWA Uwanja wa Jamhuri, Dodoma walikuwa mashuhuda wakibaki na pointi tatu mazima baada ya dakika 90. Ubao ulisoma Dodoma Jiji 1-0 Kagera Sugar iliyokuwa inazisaka pointi tatu pia. Bao la ushindi ni mali ya Cristian Nzigah aliyepachika bao hilo dakika ya 40 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Kagera Sugar ilitoka kukomba pointi…

KAGERA YAIPIGIA HESABU KALI DODOMA JIJI
UONGOZI wa Kagera Sugar umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi kuu Bara unatarajiwa kupigwa Oktoba 25, kwenye Dimba la Jamhuri mjini Dodoma. Ofisa Habari wa Kagera Sugar, Hamisi Mazanzala aliliambia Championi Jumatano kuwa, maandalizi yapo sawa kwa ajili ya mchezo huo. “Maandalizi yapo sawa na wachezaji wapo tayari kupambana…

BAADA YA HAT TRICK YA AZIZ KI… SIMBA: HATUNA HOFU, KIATU NI CHA BALEKE
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwa namna wachezaji wao walivyo na shauku ya kufunga mabao mengi kwenye kila mechi wanazocheza ndani ya ligi wana imani tuzo ya kiatu bora itakuwa kwenye mikono yao msimu wa 2023/24. Kauli hiyo ni kama kumpora kiatu cha ufungaji bora mwamba Aziz Ki ambaye kwa sasa ni kinara wa utupiaji…

SIMBA NDANI YA DAR WAKITOKA KUPAMBANA NA WAARABU
MSAFARA wa Simba uliokuwa na jumla ya wachezaji 24 umewasili salama Dar ukitokea Misri ulipokuwa kwa ajili ya mchezo wa African Football League. Ni mapambano ya dakika 90 dhidi ya Waarabu wa Misri ilikuwa kwenye mchezo wa kuamua nani atakayetinga hatua ya nusu fainali kimataifa. Oktoba 24, ubao ulisoma Al Ahly 1-1 Simba. Kwenye hatua…

KASINO YA MTANDAONI YATA NA SLOTI YA BOOK OF EGYPT
Sloti ya Book of Egypt Kutoka Expanse, Mchezo Mpya Kabisa kwenye orodha ya michezo ya Book, umewasili kupitia kasino ya mtandaoni na huu ni kwa ajili yako! Kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, hiki ni kitu kingine kikubwa kwao, Mchezo bomba kabisa wa Book of Egypt unakupa nafasi ya kukusanya maokoto kiurahisi Zaidi….

KASINO MITANDAONI NDIO HABARI YA MJINI KWASASA
Kama ulikua hujui sasa hivi watu wanajipigia tu mikwanja kupitia Kasino Mitandaoni ikiambatana na michezo kabambe kama Roullete, Piggy, Pinata Loca, Lakini kwasasa kuna mchezo unaobamba unajulikana kama Starlight Princess. Meridianbet wamekuja na Promosheni ambayo itajumuisha mchezo wa Starlight Princess ambayo imeanza tarehe 19 mwezi huku Oktoba na kumalizika mwezi huu tarehe 31 ambapo mshindi…

AZIZ KI KIBAO KIMEGEUKA
MTAALAMU wa mapigo huru ndani ya Yanga, Aziz KI amekuja na mtindo mpya kwa msimu wa 2023/24 kwa kuwavuruga makipa waliokariri ubora wake wa kutumia mguu wa kushoto kufunga. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Aziz KI alitupia mabao 9 na alitengeneza pasi tano za mabao kwenye mechi za ligi. Mabao yote na pasi hizo alizotoa katika mechi 24 alizocheza akikomba dakika…