
WATATU HAWA HAPA KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA YANGA
MAJINA ya nyota watatu wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi yamepenya kuwania tuzo ya mchezaji bora. Yanga hivi karibuni iliingia ushirikiano na NIC kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wachezaji wa timu hiyo watakaofanya vizuri ndani ya mwezi husika. Oktoba 28 vinara hao wa ligi wakiwa na pointi 18 baada ya…