
SIMBA: TUTADHIHIRISHA UKUBWA WETU MBELE YA YANGA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utadhihirisha ukubwa wao kwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Kariakoo Dabi inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwa timu zote kuwania kupata pointi tatu muhimu. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally…