INAELEZWA kuwa aliyemleta Maxi Nzengeli ndani ya Yanga anamleta mshambuliaji wa mabao ndani ya kikosi hicho ili awe mbadala wa Fiston Mayele ambaye mpaka sasa bado mbadala wake sahihi hajapatikana ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Miguel Gamond.
Soccer Football - International Friendly - Italy v Turkey - Stadio Renato Dall'Ara, Bologna, Italy - June 4, 2024 Turkey's Abdulkadir Omur shakes hands with Italy's Riccardo Calafiori after the match REUTERS/Daniele Mascolo