KUNA wakali ndani ya Bongo ambao mapema walikamilisha mpago kazi wa kutoa zawadi kwa mashabiki wao katika mechi za ushindani ambazo walicheza. Ipo wazi kuwa Azam FC ni namba moja kwenye msimamo huku wakifuatiwa na Yanga na namba tatu ni Simba.
Soccer Football - International Friendly - Italy v Turkey - Stadio Renato Dall'Ara, Bologna, Italy - June 4, 2024 Turkey's Abdulkadir Omur shakes hands with Italy's Riccardo Calafiori after the match REUTERS/Daniele Mascolo