Home Sports MERIDIANBET YATOA MSAADA MBAGALA RANGI TATU

MERIDIANBET YATOA MSAADA MBAGALA RANGI TATU

Subiri yavuta heri na hii imetokea leo kwani baada ya Meridianbet kuzunguka sehemu mbalimbali kutoa msaada, Hatimae leo wakazi wa eneo la Mbagala Rangi Tatu wamefikiwa na kupata msaada kutoka kwa wakongwe hao wa michezo ya kubashiri.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefika Mbagala Rangi tatu na kutoa msaada wa kwa wajasiriamali wa eneo kwa kutoa Miamvuli ambayo itakwenda kuwasaidia katika shughuli zao ambazo wamekua wakizifanya kila siku.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Kurudisha kwa jamii ni moja ya jambo ambalo limepewa kipaumbele sana katika kampuni ya Meridianbet, Kwani wamekua wakifanya hivi kwa miaka mingi sasa kuhakikisha jamii yake inapata angalua kidogo ambacho wamekua wamekipata.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa Mbagala Rangi Tatu na kutoa msaada wa miamvuli kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ukiachana mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram kuzungumza, Lakini moja ya mjasiriamali wa eneo hilo alipata nafasi ya kuzungumza na kushukuru kwa msaada walioupata “Tunapenda kuishukuru sana Meridianbet kwa kutukumbuka na kufika hapa kutupatia Miamvuli ambayo itakwenda kutusaidia kwenye shughuli zetu za kila siku”

 

 

Previous articleJKT TANZANIA SIO KINYONGE KUFANYA KWELI
Next articleAZAM YAMTANGAZA MSHAMBULIAJI MPYA KUTOKA COLOMBIA