Home Sports LEO ZAWADI ZINAFUNGULIWA MERIDIANBET TU

LEO ZAWADI ZINAFUNGULIWA MERIDIANBET TU

Sikiliza ogopa matapeli sehemu ya kufungulia zawadi leo ipo moja tu na sio nyingine ni pale Meridianbet ambao michezo mbalimbali imesheheni na ikiwa imepewa ODDS KUBWA na za kibabe kabisa.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wana kazi moja tu leo nayo ni kuhakikisha wateja wake wanafungua zawadi kwa shangwe katika siku ya Boxing day, Kwani kupitia michezo ya ligi kuu ya Uingereza itakayopigwa leo imepewa ODDS KUBWA ambazo zitawawezesha wateja kupiga mkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Newcastle baada ya kupoteza mchezo siku ya Jumamosi dhidi ya Luton Town leo watakua nyumbani katika dimba la St. James Park kuhakikisha wanarudi kwenye njia ya ushindi wakiikaribisha klabu ya Nottingham Forest.

Liverpool baada ya kubanwa mbavu katika michezo miwili mfululizo kwa kupata sare wakiwa nyumbani leo watasafiri na kwenda ugenini kukipiga na vijana wa kocha Vicent Kompany klabu ya Burnley ambapo watakua wakipambana kuzipata alama tatu muhimu.

Bournamouth wakiwa kwenye fomu nzuri ambapo wametoka kushinda michezo miwili mfululizo na mchezo mmoja ni ule walioitandika Man United mabao matatu kwa bila leo watakua pale Vitality katika uwanja wao wqa nyumbani kuikaribisha klabu ya Fulham.

Manchester United ikiwa haipo kwenye mwenendo mzuri wa matokeo leo wanakwenda kukabiliana na moja ya timu bora kwasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza  klabu ya Aston Villa, Man United watahitaji kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo katika siku ya Boxing day ambayo imedumu tangu mwaka 2015.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Previous articleZANZIBAR HEROES V KILIMANJARO STARS KAZINI
Next articleANASEPA SIMBA MTAMBO WA MAPIGO HURU NTIBANZOKIZA