MAXI NI NGOMA NZITO YANGA

NYOTA Maxi Nzengeli ndani ya kikosi cha Yanga ni ngoma nzito kutokana na uwezo wake wa kufunga na kutengeneza nafasi kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Nzengeli anayevaa uzi namba 7 mgongoni huku mtindo wake unaomtambulisha ukiwa ni ule wa kuchomekaa jezi rekodi zinaonyesha kuwa bao lake la kwanza akiwa na uzi wa Yanga alipachika…

Read More

MWAMUZI WA SIMBA V YANGA LAZIMA JITU LIPIGWE

PILATO wa mchezo wa Desemba 11 ambao ni mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Simba v Yanga ni kiboko kwa kuwa kwenye mechi zote ambazo alihusika kwenye orodha ya waamuzi ilikuwa ni lazima jitu lipasuke. Kwa msimu wa 2021/22, Elly Sasii ambaye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati ameweza kuwa kwenye orodha za waamuzi katika mechi…

Read More

KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE KUSAKA MATOKEO

MECHI ambazo zimebaki kwa wawakilishi wa kimataifa zote ni muhimu kushinda kufufua matumaini ya kutinga hatua ya makundi licha ya ugumu uliopo. Kikubwa kwenye mechi za hatua ya makundi ni kuhakisha kwamba hakuna ambaye ataleta utani kwenye mechi ambazo zitachezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mechi mbili ambazo zinamaana kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga…

Read More

SALAH HANA JAMBO DOGO ULAYA

MOHAMED Salah raia wa Misri, mshambuliaji wa Liverpool hana jambo dogo akiwa uwanjani kwa kuwa amekuwa ni mtu wa kazikazi. Rekodi zinaonyesha kuwa amecheza jumla ya mechi 162 na ni mechi 155 alianza kwenye kikosi cha kwanza. Katika mechi hizo jumla ya mechi saba alifanyiwa mabadiliko kutokana na sababu mbalimbali. Akiwa ametupia mabao 110 ni…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE YATUMA UJUMBE HUU AZAM FC

NIZAR Khalfan, kocha msaidizi wa Singida Fountain Gate ameweka wazi kuwa hawatakubali kupoteza kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Azam FC, unaotarajiwa kuchezwa leo Januari 8 2024. Ikumbukwe kwamba mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo ilikuwa ni robo fainali kwa wababe hawa wanaokutana kwa mara nyingine ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam…

Read More

PABLO FRANCO KUKUTANA NA MABOSI SIMBA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukutana leo na uongozi wa Simba ili kuweza kuzungumza kuhusu mwendo wake ndani ya kikosi hicho. Kocha huyo baada ya kurithi mikoba ya Didier Gomes malengo yote ambayo alikabidhiwa na timu yameyeyuka jumlajumla jambo linalofanya nafasi yake kuwa kwenye wakati mgumu. Moja ya malengo ilikuwa ni kutetea mataji yaliyokuwa…

Read More

MCHEZO WA KIRAFIKI, YANGA 0-0 MBUNI FC

MCHEZO wa kirafiki kati ya Yanga v Mbuni kwa sasa ni mapumziko Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezaji wa Mbuni Hussein Idd ameonyeshwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza baada ya kumchezea faulo mchezaji wa Yanga David Bryson. Kiungo mshambuliaji Dickosn Ambundo alifanya jaribio la kwanza na matata kwa upande wa Yanga lakini liliokolewa na kipa…

Read More

MOLOKO AREJEA NA HESABU ZA UBINGWA

KIUNGO wa Yanga, Jesus Moloko, amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kurejea kwenye kikosi hicho ili kuendeleza mapambano ya kulisaka taji la ligi kuu msimu huu. Moloko ambaye ameanza mazoezi na timu hiyo, anadai kuwa alikuwa anajisikia vibaya kuwa nje ya timu kwa sababu ya majeraha kwa kuwa mara zote amekuwa na kiu ya kutaka…

Read More