Ukicheza Kasino ya Mtandaoni Meridianbet unapata Mgao wa Tsh 5m Bure

Promosheni Kabambe ya Endorphina

Kuutafuta utajiri ni rahisi sana kama ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa sababu kila siku wanakuja na promosheni za kibabe kwaajili yako. Ukiweka kando michezo ya kubashiri soka, kuna bonasi na machaguo kibao. Hivyo saka utajiri kwa kucheza kasino ya mtandaoni kila siku na ujiweke kwenye nafasi ya kushinda mgao wa Tsh Milioni Tano.

Kutoka Kasino ya Mtandaoni pekee ya Meridianbet kuanzia April 3 mpaka April 10 mwaka huu, kuna promosheni mpya na maalum kwako joka la kucheza sloti za michezo ya kasino ya mtandaoni. Cheza mchezo wowote uliochaguliwa wa Endorphina na ufurahie hali ya kusisimua itakayokupa mkwanja mrefu.

Sloti za Endorphina zilizopo ni kama Football 2022 yaani unacheza soka kama upo uwanjani vile au kwenye PS4, Chance machine 20, Book of Santa, Book stoker, Story of Xmass, 100 Zombies, The Vampires II, Book of Vlad, The Emirates II, Fisher King, Solar Eclipse ama kupatwa kwa jua na mingine mingi.

April ya kishua unaweza kuwa mshua kwa sababu, una nafasi ya kujishindia mgao wako wa zawadi kabambe ya TSH Milioni 5,000,000 kutoka kwenye droo ya zawadi yenye sloti rahisi kushinda.

Washindi wanapatikanaje?

Mwisho wa shindano, wachezaji wataorodheshwa kulingana na idadi ya mizunguko waliyocheza, na wachezaji 15 wa kwanza watajishindia zawadi kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1: TSH 1,200,000

Nafasi ya 2: TSH 880,000

Nafasi ya 3: TSH 630,000

Nafasi ya 4: na 5: TSH 380,000 kila mmoja

Nafasi ya 6: mpaka 10: TSH 200,000 kila mmoja

Nafasi ya 11: mpaka 15: TSH 100,000 kila mmoja

Si utani, mawindo yameanza! Saka utajiri na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.