MWENDO WA TP MAZEMBE NA YANGA WALIKIMBIZANA KWELI

NJE ndani TP Mazembe kaacha pointi tatutatu mbele ya Yanga walipokutana kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi wote wakiwa kundi D. Yanga wamekamilisha mechi ya sita wakiwa wanaongoza kundi na kibindoni wana pointi 13, hapa tunakuletea kazi ilivyokuwa Uwanja wa TP Mazembe:- Lenny Junior Kipa huyu aliokoa hatari dakika ya 6,14,15…

Read More

CHAMPIONSHIP NI YETU SOTE INATUHUSU

USHINDANI uliopo ndani ya Championship ikiwa ni mzunguko wa 25 unazidi kuleta raha ya kuifuatilia na kuona namna gani kila mmoja anavuna kile alichopanda. Kila timu inapambana kwa nafasi yake kutafuta ushindi kwa kuwa hakuna timu inayopenda kubaki pale ambapo ipo kwa muda mrefu ukizingatia kwamba kupanda daraja ni mafanikio. Uendeshaji wake ulivyo na namna…

Read More

MGUNDA AKABIDHIWA SHOO YA NABI

MABOSI wa Simba wameshtukia jambo zito baada tu ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufanya mabadiliko ya haraka kwa kuamua kumkabidhi timu kocha msaidizi ya timu hiyo, Juma Mgunda kuelekea katika mchezo dhidi ya Yanga inayoonolewa Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Simba imefanya mabadiliko hayo ya ndani baada ya…

Read More

MAYELE AMTUMIA SALAMU ZA KUTISHA ONYANGO

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amewachimba mkwara mabeki wa Simba akiwemo Josh Onyango kwa kuwaambia moja ya kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kuhakikisha anapata nafasi ya kuifunga timu hiyo katika Ligi Kuu Bara kuelekea mchezo wao wa Aprili 16, mwaka huu. Mayele ametoa kauli hiyo kufuatia rekodi yake katika Ligi Kuu Bara…

Read More

KINZUMBI WA TP MAZEMBE ATAJA SABABU 3 ZA KUSAINI YANGA

WINGA msumbufu wa TP Mazembe, Phillipe Kinzumbi ameweka wazi kuwa ameamua kukubali kumwaga wino Yanga kutokana na mambo matatu makubwa ambayo yamemvutia ndani ya timu hiyo. Nyota huyo usajili wake unatajwa kumalizwa na vigogo wa Yanga ambao walienda nchini DR Congo kwenye mechi ya marudiano kati ya Yanga na TP Mazembe ambayo ilipigwa Uwanja wa…

Read More