
FOUNTAIN GATE YAIPIGIA HESABU SIMBA QUEENS
TIMU yenye vipaji vikubwa na uwekezaji imara ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania, Fountain Gate Princess inayotumia Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwa mechi za nyumbani inaivutia kasi Simba Queens. Ipo wazi kuwa mchezo wao uliopita wakiwa nyumbani walipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania na kuziacha pointi tatu zikisepa mazima. Mchezo wao unafoata…