MAYELE APISHANA NA TUZO, PERCY AIBEBA

KWENYE usiku wa tuzo Tuzo Desemba 11 mchezaji bora wa mwaka kutoka kwenye mashindano ya vilabu ambaye kasepa na tuzo hiyo ni Percy Tau wa Al Ahly. Nyota huyo amewashinda wachezaji wenzake ambao alikuwa nao kwenye fainali ambao ni Peter Shalulile wa Mamelodi na Fiston Mayele  ambaye yupo ndani ya Pyramids akitokea Yanga. Tuzo ya…

Read More

NGOMA NZITO KWA SINGIDA FOUNTAIN GATE V KMC

SINGIDA Fountain Gate imegawana pointi mojamoja na KMC kàtika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Desemba 11. Ni Uwanja wa Black Rhino mchezo huo umechezwa kwa timu zote kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Singida Fountain Gate 0-0 KMC. Ngoma imekuwa nzito kwa pande zote mbili kufanikisha malengo…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SASA NI BLACK RHINO

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa hasira zote walizoanza nazo kuoyesha Uwanja wa Liti kwa mechi zao za nyumbani zinahamia Uwanja wa Black Rhino. Uwanja huo wa Black Rhino Academ upo Karatu utatumiwa na Singida Fountain Gate baada ya Uwanja wa Liti kufungiwa kutokana na kukosa ubora. Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate,…

Read More

FULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO

FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito. Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu. Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha 5G. Raul…

Read More

KIMATAIFA YANGA NA SIMBA MAMBO MAGUMU/ WAAMUZI HESABU

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga mambo ni magumu kwenye anga la kimataifa kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi zao tatu katika hatua ya makundi. Timu zote mbili zina pointi mbili baada ya kucheza mechi tatu ndani ya dakika 270 hivyo kuna kazi kubwa kwa wawakilishi hawa wote kufanya…

Read More

NYOTA YANGA MWIBA MKALI, KAZI KIMATAIFA INAENDELEA

KIUNGO wa Yanga Pacome Zouzoua amekuwa ni mwiba mkali kwa wapinzani kutokana na uwezo wake anaoonyesha ndani ya uwanja katika mechi za kimataifa. Ikumbukwe kwamba Desemba 8 Yanga iligawana pointi mojamoja na Klabu ya Medeama kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ambapo bao la Yanga lilifungwa na kiungo Pacome. Hilo linakuwa…

Read More

SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE BONGO

BAADA ya kete ya tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kuwa yamoto kwao kikosi cha Simba kinarejea Bongo kuendelea na maandalizi ya mechi zinazofuata. Licha ya Ayoub Lakred kuokoa penalti kipindi cha kwanza bado Simba walikwama kusepa na ushindi kutokana na makosa waliyofanya katika kipindi cha pili. Timu hiyo baada ya kucheza mechi tatu katika…

Read More

HARMONIZE KUNUNUA MAHITAJI MUHIMU YA HANANG

MWANAMUZIKI Rajabu Abdul maarufu kwa jina la Harmonize amewaagiza wasimamizi wake Chopa na Jembe ni Jembe kutumia fedha ambazo amelipwa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Manispaa ya Kahama, Shinyanga kutumika kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu yatakayopelekwa kwa waathirika wa maporomoko ya matope yaliyotekea Hanang Mkoa wa Manyara. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa…

Read More

Njoo Kwenye Nyumba Ya Mabingwa Upige Pesa

Baada ya jana mechi kibao kupigwa na baadhi ya matokeo kuwaweka mashaibiki midomo wazi leo kama kawaida Meridianbet wanakwambia haiishi mpaka iishe, endelea kubashiri nao kwani wana ODDS KUBWA na machago unayotaka wewe.  SERIE A itaendelea leo hii ambapo AC Monza ambaye yupo nafasi ya 11 atakiwasha dhidi ya Genoa ambaye yupo nafasi ya 14…

Read More

SIMBA WAJIONGEZEA MZIGO KIMATAIFA, WAO WENYEWE SABABU

SIMBA imepoteza pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ukiwa ni mchezo wao wa kwanza kupoteza msimu wa 2023/24 katika anga la kimataifa. Hakuna wakumlaumu kwa kilichotokea kutokana na kushindwa kutumia nafasi walizopata pamoja na kushindwa kukaba nafasi katika dakika za lala salama. Kazi ni nzito kwa wawakilishi…

Read More

FT: Machester United 0-3 Bournemouth

Baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Manchester United imeshindwa kuendeleza mwenendo mzuri na kukubali kichapo cha 3-0 nyumbani dhidi ya Bournemouth. FT: Machester United 0-3 Bournemouth ⚽️ 5’ Solanke ⚽️ 68’ Billing ⚽️ 73’ Senesi #FULLTIME Brighton 1-1Burnley Sheffield United1-0 Brentford Wolves 1-1Nottingham Forest Crystal Palace 1-2 Liverpool

Read More

VIWANJA VIBORESHWE LIGI IZIDI KUWA NA UBORA

KILA leo tunashuhudia ligi yenye ushindani mkubwa kwa kila timu kuwa na mpango wa kuvuna pointi tatu kwenye mchezo husika. Katika mwendo wa ligi ambayo ushindani wake ni mkubwa tunaona kila timu inapambana kusaka ushindi na wale wanaotumia makosa ya wapinzani wanapata kile wanachostahili. Ushindani umekuwa mkubwa na hali hii inatakiwa kuwa endelevu mpaka mwisho…

Read More

MERIDIANBET YAINEEMESHA MWENGE WAGAWA MIAMVULI

Zamu ya Mwenge jijini Dar-es-salaam sasa ambapo mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamewafikia wakazi wa eneo hilo ambapo wameweza kutoa msaada Miamvuli kwa wajasiriamali wa eneo hilo. Mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikirudi kwenye jamii na kujaribu kuigusa kwa kwa namna moja ama nyingine hasa kwa wale wenye uhitaji na awamu…

Read More

SIMBA:TUTAZIPATA POINTI TATU KWA NGUVU MUNGU

IKIWA ni saa chache zimebaki kabla ya wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba kutupa kete ya tatu kusaka pointi tatu dhidi ya Wydad Casblanca wameweka wazi kuwa kwa nguvu ya Mungu watazipata pointi tatu. Ipo wazi kwamba kwenye anga la kimataifa msimu wa 2023/24 mambo ni magumu kwa Simba katika mechi nne…

Read More