
AL AHLY IMEFUZU HATUA YA NUSU FAINALI YA KOMBE LA DUNIA NGAZI YA KLABU
Al Ahly imefuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia ngazi ya klabu kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa robo fainali. FT: Al Ahly ?? 3-1 ?? Al Ittihad ⚽ Maâloul (P) 21’ ⚽ E lShahat 59’ ⚽ Ashour 62’ Al Ahly itachuana na vigogo wa Brazil,…