
BADO MMENUNA? MEDEAMA WANAPIGIKA
BADO mmenuna? Hao Medeama.. Wanapigika vizuri tu ndani ya Championi Jumatano
BADO mmenuna? Hao Medeama.. Wanapigika vizuri tu ndani ya Championi Jumatano
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo mazito kwa wachezaji wake wote kuanzia kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, safu ya ushambuliaji ya Yanga ilitupia mabao…
Asec Mimosas inazidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa kundi B ikifikisha alama 10 baada ya mechi nne. FT: Asec Mimosas ?? 3-0 ?? Jwaneng Galaxy ⚽ Avo 11’ ⚽ Aka 80’ ⚽ Sankara 90+1’ MSIMAMO KUNDI B BAADA YA RAUNDI 4. 1️⃣• ?? Asec (pointi 10) 2️⃣• ?? Simba SC (5) 3️⃣• ?? Jwaneng Galaxy…
MCHEZO wa nne kwa Simba katika hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika wanavuna pointi tatu ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Simba 2-0 Wydad Casablanca. Katika mchezo wa leo Desemba 19 mabao yote ya Simba yalifungwa kipindi cha kwanza cha mchezo ndani ya dakika 45 na kuvuna pointi tatu wakiwa nyumbani. Ni Willy Onana alipachika…
DAKIKA 45 za mwanzo Simba wanakwenda kwenye vyumba vya mazungumzo wakiwa wanaongoza kwa mabao 2-0 Wydad Casablanca ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mtupiaji wa mabao yote mawili ni kiungo mshambuliaji Willy Onana ambaye kafunga mabao hayo ndani ya dakika mbili. Alianza dakika ya 36 na lile la pili ilikuwa dakika ya 38…
BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesema Arsenal ndiyo timu pekee inayoweza kutoa ushindani kwa Manchester City katika kuwania ubingwa wa Premier League msimu huu. Kauli ya Muingereza huyo imekuja kufuatia Liverpool kushindwa kuifunga Manchester Utd katika mchezo wa Premier uliochezwa Anfield, juzi Jumapili. Arsenal wamerejea kileleni mwa msimamo wa Premier, baada ya…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amefumua kikosi hicho ambapo wachezaji wawili watakuwa jukwaani ikiwa ni Sadio Kanoute na Saido Ntibanzokiza wanaoutumikia adhabu ya kati tatu za njano. Mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa na ushindani kwa timu zote…
UONGOZI wa Tabora United zamani ikijulikana kama Kitayose umesema kuwa kampeni ya kuzisaka alama tatu dhidi ya Yanga imeanza, huku wakiamini kuwa kuanza maandalizi mapema ndiyo njia pekee yakutimiza malengo waliyojiwekea katika mchezo huo. Pendo Lema ambaye ni Afisa habari wa klabu ya Tabora United amesema kuwa kwa sasa hawana muda wakupoteza, na tayari kikosi…
WAKIWA na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Wydad Casablanca leo Jumanne, kocha mkuu wa Simba, Abdelhack Benchikha amefumua kikosi na kubainisha mambo saba yatakayoipa ushindi timu hiyo. Ipo wazi kwamba Wydad Casablanca nao hesabu zao kubwa ni kupata ushindi hivyo zitakuwa ni dakika 90 za kazi kubwa,…
NGUVU ya ziada inahitajika kwa Simba na Yanga kutusua kimataifa. Kwenye soka lolote linawezekana hivyo tusiwakatie tamaa. Kwenye mechi tatu ambazo ni dakika 270 timu zote mbili zimekomba pointi mbili jambo linaloongeza ugumu kwao kufanikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali ikiwa watapoteza mechi zote.
VIUNGO wawili wa kazi ndani ya kikosi cha Simba watakuwa mashuhuda Uwanja wa Mkapa Simba ikisaka matokeo kwenye mchezo dhidi ya Wydad ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi. Ni Sadio Kanoute kiungo mgumu aliyepata kadi tatu kwenye mechi tatu mfululizo alianza mchezo dhidi ya ASEC Mimosas Uwanja wa Mkapa ngoma ikawa…
SAFARI hii hawatoki, Winga Mcongo akubali mkataba Yanga SC ndani ya Spoti Xtra Jumanne
MAXI Nzengeli kiungo mshambuliaji wa Yanga ameweka wazi kuwa yeye sio mtu wa manenomaneno mengi bali atafanya kazi kwa vitendo. Kiungo huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ni namba mbili kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa katupia mabao 7 kinara ni Aziz KI mwenye mabao 9 kibindoni. Desemba 20 Yanga inatarajiwa kuwa na…
Mabingwa wa Afrika, Al Ahly wamesukumizwa nje ya michuano ya klabu Bingwa Dunia kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Mabingwa wa Amerika ya Kusini)CONMEBOL), Fluminense. FT : Fluminense ?? 2-0 ?? Al Ahly SC ⚽️ Jhon Arias 70’ ⚽️ John Kennedy 90’ Beki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo alikuwa sehemu ya kikosi cha vigogo…
KUTOKA Morogoro, Klabu ya Mtibwa Sugar haina bahati na Uwanja wa Azam Complex kwa msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kukomba pointi ndani ya dakika 180. Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila ni mechi mbili tofauti ilicheza ikiwa ugeni ilikuwa ni Novemba 24, 2023 ubao uliposoma Azam FC 5-0 Mtibwa Sugar. Dakika 180…
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amesababisha majanga kwa Waarabu wa Morocco Wydad Casablanca kwa kuwa chanzo cha nyota wao kuukosa mchezo wa marudiano Dar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 saa 10:00 jioni. Simba iliyo kundi B mwendo haijawa kwenye mwendo bora kutokana na kushindwa kupata ushindi katika mechi tatu za hatua…
MOJA ya timu za taifa zilizofanya vizuri sana kimataifa ni Misri na rekodi zao zimekuwa nzuri huku wakiendelea kuwatumia wachezaji wa nyumbani zaidi. Misri wamekuwa na wachezaji wengi wa nyumbani ambao wamekuwa wakiiwakilisha timu yao ya taifa vizuri. Bila ya ubishi ni kwamba hapa kuna uwekezaji mzuri zaidi au wa kipindi kirefu ambao umewafanya Misri…