Shaktar Donetsk Yahofia Kumpoteza Mtanzania Yamuweka Benchi

Ni miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen na mikoba yake kupewa Marino Pusic (52) kukinoa kikosi hicho mpaka mwaka 2025-2026.   Tangu kufanyika kwa mabadiliko ya benchi la ufundi kijana wa Kitanzania ambaye alifanya vizuri sana kwenye michezo kadhaa aliyopewa…

Read More

KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE KUSAKA MATOKEO

MECHI ambazo zimebaki kwa wawakilishi wa kimataifa zote ni muhimu kushinda kufufua matumaini ya kutinga hatua ya makundi licha ya ugumu uliopo. Kikubwa kwenye mechi za hatua ya makundi ni kuhakisha kwamba hakuna ambaye ataleta utani kwenye mechi ambazo zitachezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mechi mbili ambazo zinamaana kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga…

Read More

BRUNO FERNANDES AZIDI KUKOSOLEWA MAN UTD

Tarehe 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijana wa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu vya kumbukumbu ya mashabiki wengi wa soka ikiwemo mashetani wekundu Utd. Alianza safari yake ya soka kutoka mitaani klabu ya Infesta na baadaye alipata ofa ya kujiunga na Akademi ya…

Read More

NGUVU YA AZAM FC YAGEUZWA HUKU

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kupata matokeo kwenye mechi zao za ligi sasa wanageukia kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Azam FC mchezo wake uliopita wa ligi ilishinda kwa mabao 2-1 JKT Tanzania inakibarua  na Alliance ya Mwanza, kwenye raundi ya pili ya michuano hiyo. Mchezo huo unachezwa…

Read More

YANGA WAIVUTIA KASI MEDEAMA CAF

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Huo ni mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali wakiwa wamecheza mechi tatu na kukusanya pointi mbili kibindoni. Desemba 20 Yanga wanatarajiwa kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa baada…

Read More

HIVI NDIVYO NAMNA SIMBA ITAKAVYOTUSUA CAF

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa njia pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani kurejesha hali ya kujiamini zaidi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 270, Simba haijaambulia ushindi ndani ya uwanja. Ilipoteza…

Read More

MWENDO WA YANGA NA SIMBA CAF MAMBO MAGUMU

MWENDO wa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga na Simba haujawa kwenye ubora kutokana na kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Kuna watembeza mikato ya kimyakimya ambapo wachezaji wa timu hizo walionyeshwa kadi za njano. Kuna kazi kubwa inapaswa kufanywa na wawakilishi wa Tanzania kimataifa.

Read More

GAMONDI AENDELEZA UBABE BONGO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameendeleza ubabe wake kwa kushuhudia wachezaji wake wakiibuka na ushindi wa mabao 4-1 Mtibwa Sugar. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 16 Uwanja wa Azam Complex, Yanga walipeta na kukomba pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar wakiendeleza ubabe wao kwenye ligi. Mabao ya Yanga yalifungwa na Aziz KI ambaye alifunga mabao…

Read More

MADEREVA BAJAJI WANEEMESHWA NA MERIDIANBET

Kumekua kukitolewa misaada mbalimbali katika maeneo tofauti tofauti lakini leo hii Meridianbet wameamua kwenda kutoa msaada kwa madereva Bajaji wa maturubai ambayo yatawawezesha kufanya shughuli zao za kila siku vizuri. Utamaduni wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka umedumu kwa miaka na miaka na leo walioneemeka ni madereva Bajaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la…

Read More

Jumamosi Hii Ni Kupiga Mkwanja Tu Na MeridianBet

Jumamosi hii Meridianbet inataka kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo katika ligi tofauti tofauti barani ulaya na hata hapa Tanzania. Kwanini Meridianbet wanasema watakikisha unapiga mkwanja wewe mteja wao kwakua wao wamemaliza jukumu lao kilichobaki ushindwe wewe tu, Kwani wameweka ODDS KUBWA katika michezo inayokwenda kupigwa Jumamosi ya leo…

Read More

SIMBA YAPEWA KIUNGO WA YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa yupo huru kusajiliwa na timu yoyote itakayohitaji saini yake ikiwemo Simba ambayo imepanga kukifanyia maboresho kikosi chake. Hiyo ni kutokana na mkataba wake kufikia mwisho mwishoni mwa msimu huu akiwemo Chrispin Ngushi, Denis Nkane ambao hivi sasa wamepoteza nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza. Kwa mujibu kanuni za…

Read More

BENCHIKHA AANZA MASHINE NNE SIMBA SC

RASMI Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji wanne anaotaka wasajiliwe katika dirisha dogo la usajili msimu huu. Hiyo ni katika kuhakikisha anatengeneza kikosi imara kitakacholeta ushindani katika msimu huu ambao wamepanga kufika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wapo…

Read More