
AZAM FC YAZIDI KUPETA BONGO
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamezidi kupeta kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na kuendeleza kasi ya ushindi kwenye mechi ambazo wanachea. Desemba 21 ikiwa ugenini iliibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao Kagera Sugar. Pointi tatu walizopata Azam FC dhidi ya Kagera Sugar zinawazidi kuwafanya wajikite nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi…