
HUYU HAPA MJASIRIAMALI AKOMBA MILIONI ZA SUPA JACPPOT YA SPORTPESA
KAMPUNI ya michezo na kubashiri Tanzania, SportPesa ambao ni wadhamini wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamemtangaza mshindi wa SportPesa Supa Jacpot ambaye ni kijana wa miaka 27. Leo Februari 15 imefanyika hafla fupi ya kumpongeza kijana huyo David Mwenge Nyantora ambaye ni mjasiriamali na kumkabidhi zawadi yake hiyo huku akiweka wazi…