
ORODHA YA WACHEZAJI WANAOJITUMA YANGA
KASI kubwa iliyopo ndani ya Yanga ambayo imetimiza miaka 89 ni kubwa kwa kila mchezaji kujituma kutimiza majukumu yake kuna baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa wakijituma kutimiza majukumu yao na miongoni mwao wapo mabeki, viungo