
HIZI HAPA HESABU ZA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi huwa mpango kazi wao ni kuendelea kupata matokeo mazuri kwenye mechi zijazo ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mengine. Hasheem Ibwe Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa ambacho wanakihitaji ni kuwa kwenye kasi ileile waliyokuwa nayo kwenye ligi kwa kupata ushindi na burudani kuwapa mashabiki zao….