
AMEIGOMEA SIMBA KIUNGO HUYU WA KAZI
IMEELEZWA kuwa kiungo wa Simba Nassoro Kapama amewagomea mabosi wa Simba kwenye ishu yake ya mkataba ambapo nyota huyo anatakiwa na Mtibwa Sugar kwa ajili ya kuwa hapo kwa mkopo.
IMEELEZWA kuwa kiungo wa Simba Nassoro Kapama amewagomea mabosi wa Simba kwenye ishu yake ya mkataba ambapo nyota huyo anatakiwa na Mtibwa Sugar kwa ajili ya kuwa hapo kwa mkopo.
Meridianbet ndio Kampuni ya kubashiri yenye kutoa ODDDS KUBWA na machaguo mengi zaidi ya 1000, yani unaweza kuchagua utabashiri nini ukiachana na ushindi wa kawaida, kuna kona, penati, timu zote kufungana na magoli kuanzia 3 na kuendelea. Ligi kuu ya Hispania LALIGA itaendelea wikendi hii kwa mechi nyingi tuu ambapo Rayo Vallecano anatarajiwa kuwa mwenyeji…
UNAWEZA kushangaa kuwa Jua ni tatizo hapa Ivory Coast? Ngoja nikukumbushe kile kisa cha AFCON ya Cameroon. Kama unamkumbuka mwamuzi Janny Sikazwe katika mechi ya Mali dhidi ya Tunisia, alizua mjadala kumaliza mechi kabla ya muda na match kamishna akamtaka kurejea kumalizia zile dk 5, akaanzisha tena mchezo na baada ya hapo akapelekwa hospitali. Ishu…
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya betPawa imenogesha fainali ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Ivory Coast kwa kumwaga zawadi mbalimbali kwa mashabiki. Kampuni hiyo kwa sasa inaendesha kampeni “Soka Live na betPawa” ambapo mbali ya kuwakutanisha mashabiki kuangalia mpira pamoja, pia uwazawadia zawadi mbalimbali kama jezi, mabegi, mipira, vikombe, chupa za maji na…
IKUFIKIE popote ulipo kwamba kwenye simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo iliyokuwa ikiandikwa ndani ya Championi Jumatano kuna visa zaidi ya 10 ambavyo vilitokea katika maisha ya kila siku. Ikumbukwe kwamba simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo inaingia kwenye orodha ya simulizi bora zilizopata nafasi ya kuchapishwa ndani ya gazeti la Championi Jumatano…
The Money Men Megaways ni sloti iliyotengenezwa na Pragmatic Play. Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una bonasi nyingi, ili upate unatakiwa uwe na kadi za ‘wild.’ Anza safari yako ya kusisimua kwa kucheza mchezo huu wa kasino. The Money Men Megaways ni sloti mtandaoni yenye nguzo sita. Urekebishaji wa alama kwa kila nguzo hutofautiana,…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa usajili wa mshambuliaji wao mpya Guede utawaongezea kasi kwenye suala la kufunga huku wapinzani wao wakionywa kutokana na uwezo wa mshambuliaji huyo mwenye uzoefu wa kucheza mechi za ushindani. Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo ilimtambulisha Guede raia wa Ivory Coast kuwa miongoni mwa nyota wao wapya huku mwamba…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amepiga mkwara mzito kwa kusema kuwa washambuliaji waliosajiliwa watafunga mabao mengi kwelikweli. Ipo wazi kwamba Simba imeachana na Moses Phiri na mshambuliaji wao namba moja Jean Baleke kwenye dirisha dogo la usajili. Nyota wapya waliosajiliwa kwa upande wa ushambuliaji ni Pa Jobe na Fred Michael….
BEKI wa kupanda na kushuka ambaye yupo kwenye ubora wake muda wote akiwa fiti akiwa ni mzawa anayefanya kazi kubwa uwanjani, Shomari apombe amefichua siri ndani ya Simba iliyowafanya wakashindwa kutusua kwenye Mapinduzi 2024 licha ya kuwa kwenye nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo ambalo limeibukia Mlandege.
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva amesema kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwenye Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) nchini Ivory Coast licha ya kete ya kwanza kutokuwa na matokeo mazuri kwa Tanzania. Ipo wazi kwamba katika mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 17 ilikuwa Morocco 3-0 Tanzania waliomtungua Aishi…
Huku michuano ya AFCON ikiendelea kushika hatamu meridianbet nao wameona waende sambamba na moto huo huo kwa kukuwekea ODDS KUBWA, Machaguo zaidi 1000, hivyo kazi yako ni kuweka dau na kubeti tuu. Mechi za AFCON zinatarajiwa kuendelea leo hii mzunguko wa pili, Equatoria Guinea kumenyana na Guinea Bissau ambaye alipoteza mchezo uliopita. Na leo hii…
MASTAA sita wamekutanana mkono wa asante ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate inayotumia Uwanja wa Liti kwa mechi zake za nyumbani. Timu hiyo ilishiriki Mapinduzi 2024 na ikagotea hatua ya nusu fainali ilipofungashiwa virago na Simba kwa mikwaju ya penalti 3-2 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Miongoni mwa nyota…
HESABU kubwa zinahitajika kwenye msako wa ushindi kwa kila timu kuwa na mpango kazi wake ndani ya uwanja kusepa na ushindi, hivyo tu basi. Mapinduzi 2024 ilikuwa ni moto wa kuotea mbali huku hesabu zikiwa kubwa kwa kila timu kuingia na mpango kazi wake kusepa na ushindi. Hapa tunakuletea namna hesabu zilivyokuwa na kujibu kwa…
Wakati unawaza kutembelea sehemu mbalimbali duniani kama vile kwenda Vakesheni Dubai, Uturuki na Paris kwenye Jiji la bata, nakupa chaka jingine ambalo watu wengi hawalijui na ukiwa huko utafurahi sana huku unapiga pesa tu. Piramidi zinatambulika zaidi huko Misri, lakini pia umekutana nazo mara nyingi kwenye sloti zinazoakisi makabila ya India. Mara hii tunakupeleka mpaka…
AHMED Ally ambaye Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, anatamani Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) yamalizike hata leo ili waanze kuona ubora wa washambuliaji wao wapya waliowasajili juzi kabla ya dirisha dogo kufungwa la msimu huu. Simba juzi iliwatangaza washambuliaji wawili Fredy Michael Koublane na Pa Omar Jobe ambao wametambulishwa saa chache…
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha ndiye aliyenusuru panga la kiungo wake mshambuliaji, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ kuendelea kubakia Msimbazi. Awali kiungo huyo alikuwepo katika mipango ya kuachwa katika usajili huu wa dirisha uliofungwa jana saa 5:59 usiku, baada ya kuwepo mvutano wa kimaslahi ya mkataba. Kiungo huyo aligomea kusaini mkataba wa mwaka…
KIUNGO Maarouf Tchakei inaelezwa kuwa alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi wa Simba ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Abdelhak Benchikha, kocha mkuu wa Simba alikuwa anatajwa kwamba alikuwa anakubali uwezo wa kiungo huyo baada yà kumuona katika Mapinduzi Cup 2024 akiwa na Singida Fountain Gate. Licha ya mabosi Simba kupeleka ofa kuhitaji saini yake walipishana nayo…