
NYOTA HUYU ALITAKIWA NDANI YA SIMBA
KIUNGO Maarouf Tchakei inaelezwa kuwa alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi wa Simba ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Abdelhak Benchikha, kocha mkuu wa Simba alikuwa anatajwa kwamba alikuwa anakubali uwezo wa kiungo huyo baada yà kumuona katika Mapinduzi Cup 2024 akiwa na Singida Fountain Gate. Licha ya mabosi Simba kupeleka ofa kuhitaji saini yake walipishana nayo…