
JEMBE LA KAZI HILI HAPA SIMBA
NYOTA Pa Omar Jobe ni mnyama mwingine baada ya kutambulishwa rasmi Januari 15 2024 ikiwa ni usajili wa kuboresha kikosi hicho kilichogotea nafasi ya pili Mapinduzi 2024. Ipo wazi kwamba Januari 13 ubao wa Uwanja wa New Amaan baada ya dakika 90 kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi ulisoma Mlandege 1-0 Simba. Joseph Akandwanao aliwakanda…