
AZAM FC YABADILI MUELEKEO, KOCHA AFICHUA SIRI
BAADA ya kukomba pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Mbeya, Uwanja wa Sokoine Kocha Mkuu wa Azam FC Rachid Taoussi amefichua kuwa walibadili muelekeo kulingana na mchezo husika na kupata matokeo kama ambavyo walifanya vizuri mazoezini. Oktoba 18 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine ulisoma Tanzania Prisons 0-2 Azam FC…