
FEISAL ANAOMBA MCHANGO
ANAANDIKA Feisal Salum namna hii:-“Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi kijana wenu ambaye kwa miaka yote nimekua na nidhamu nje na ndani ya uwanja na kwa dhati nimeitumikia Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania na Zanzibar Heros. “Utiifu wangu umekua shubiri ya maisha yangu ya…