Home Uncategorized PETER BANDA NDANI YA NYUMBA SIMBA

PETER BANDA NDANI YA NYUMBA SIMBA

PETER Banda kiungo wa Simba ni miongoni mwa wale watakaonza leo Juni 6,2023 kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons.

Ni mchezo wa mzunguko wa pili ikiwa ni mzunguko wa pili.

Banda hajawa kwenye ubora msimu huu kutokana na kupambania afya yake muda mrefu.

Ni shuhuda wa watani zao wa jadi Yanga wakitwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23.

Mbali na Banda pia Jean Baleke, Erasto Nyoni langoni ni Ally Salim, Ntibanzokiza na Kibu Dennis kwa washambuliaji.

Previous articleMBEYA CITY 2-0 YANGA, LIGI KUU BARA
Next articleMBEYA CITY WAGAWANA POINTI NA YANGA, MORRISON AWACHETUA