
HAALAND AKOMBA TUZO
STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland Alhamisi aliendelea kula matunda ya kazi yake nzuri ambayo aliifanya msimu uliopita akiwa na kikosi hicho baada ya kufanikiwa kubeba tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Uefa. Haaland ambaye alifunga mabao 36 kwenye Premier msimu uliopita alibeba tuzo hiyo kwenye hafla ya upangaji wa makundi wa Ligi ya…