ISHU YA CHAMA KURUDI BONGO,YANGA,SIMBA ZATAJWA
KIUNGO bora wa zamani wa Simba, Clatous Chama anatajwa kurudi tena Bongo huku timu mbili za Kariakoo, Simba na Yanga zikitajwa kuwania saini yake. Chama msimu wa 2020/21 alikuwa kwenye kikosi bora cha msimu na pia alitwaa tuzo ya kiungo bora ikumbukwe pia kwa msimu wa 2019/20 alitwaa tuzo ya kiungo bora pamoja na mchezaji…