YANGA YAWASHUSHA PRESHA MASHABIKI
MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuelekea kwenyemchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumamosi, Uwanja wa Mkapa huku akiweka bayana wataibuka na pointi tatu. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa KariakooDabi ukiwa mchezo wa kwanza kukutana kwa msimu huu kwenye ligi. “Hakuna sababu ya kuwa na presha unajua mchezo wetu…