
KOCHA MJERUMANI AANDALIWA MIKOBA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
CHAMPIONI Jumamosi ukurasa wa mbele habari kubwa inaeleza kwamba Kocha Mjerumani aandaliwa mikoba Simba,Yanga wasema hawana presha na kesi ya Morrison CAS
CHAMPIONI Jumamosi ukurasa wa mbele habari kubwa inaeleza kwamba Kocha Mjerumani aandaliwa mikoba Simba,Yanga wasema hawana presha na kesi ya Morrison CAS
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia vizuri nafasi wanazopata. Nabi ametoa kauli hiyo baada ya mazoezi ya juzi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam unaotarajia kupigwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar….
TAREHE ambayo hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Bernard Morrison ilikuwa imepangwa, imesogezwa tena mbele hivyo inatarajiwa kutolewa Novemba 23, mwaka huu. Wakili wa Yanga, Alex Mgongolwa ametoa ufafanuzi kuwa hukumu hiyo itatolewa siku yoyote kuanzia sasa mpaka Novemba 23, kwa mujibu wa taarifa waliyopewa na CAS. Mahakama hiyo ya…
HABARI kubwa ambayo imepewa kipaumbele gazeti la Championi Ijumaa imewataja nyota watano ambao wamemchomesha Gomes, pia kuna suala la Yanga kuzidi kuwa tamu pamoja na dozi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, nakala yake ni 800
MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa Oktoba 26 amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kusaini dili jipya ndani ya Yanga ikiwa watafikia makualiano mazuri. Kocha huyo kwa sasa yupo huru baada ya mabosi wa timu hiyo kufikia uamuzi wa kuachana naye kutokana na kile waliochoeleza kuwa…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22 upo namna hii ambapo vinara ni Yanga walio na pointi 9 baada ya kucheza mechi tatu kinara wa kutupia mabao ni Vitalis Mayanga wa Polisi Tanzania mwenye mabao matatu.
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Ahamisi, Oktoba 28 lipo mtaani nakala yake ni 500 tu
KIKOSI cha Simba leo Oktoba 27 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao la ushindi limefungwa na kiungo Rarry Bwalya dakika ya 89 kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na kiungo Bernard Morrison. Kwenye mchezo wa leo Polisi Tanzania walikuwa kwenye ubora…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewapatia viwanja jijini Dodoma wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars kwa kuibuka mabingwa wa COSAFA 2021. Rais Samia (katikati) akiwa na baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars na viongozi mbalimbali. Rais Samia ametoa zawadi hiyo leo Oktoba…
BAADA ya uongozi wa Azam FC, kuwasimamisha wachezaji wao, Aggrey Morris, Aboubakary Salum ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahaya kwa muda usiojulikana, Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limeiagiza timu hiyo kutoa adhabu ya muda maalum. BAADA ya uongozi wa Azam FC, kuwasimamisha wachezaji wao, Aggrey Morris, Aboubakary Salum ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahaya kwa muda usiojulikana,…
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na malengo aliyojiwekea kwamba anahitaji kufanya vizuri zaidi ya sasa ikiwa ni msimu mpya wa 2021/22 umeanza kwa kasi kubwa. Fei Toto anayefundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza msimu huu vizuri huku akiwa kinara wa…
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Simba, raia wa Ghana Nicholas Gyan amesema kuwa Yanga ya msimu huu ni bora kuliko Yanga zote za misimu minne iliyopita na ina nafasi ya kutwaa ubingwa. Gyan alisema Simba hawatakiwi kubweteka badala yake wawe makini kwa kuwa mwenendo wa Yanga ya msimu huu unaonekana bora sana na kila…
OKTOBA 27 Championi Jumatano habari kubwa inazungumzia kuhusu kutimuliwa kwa Didier Gomes aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na imeeleza kuwa kocha mpya amepewa saa 48, pia kuna ishu ya Gomes kuitaja Yanga, jipatie nakala yako ambayo ina habari kubwa nyingine inayozungumzia mshahara wa makocha huku Nasreddine Nabi wa Yanga akionyesha kuwafunika wote.
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wana kazi ya kupambana mbele ya Red Arrows FC katika mchezo wa kwanza ambapo watakuwa nyumbani. Baada ya Simba kufungashiwa virago katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy, Uwanja wa Mkapa sasa kazi yao ni kwenye Kombe la Shirikisho. Itakuwa ni…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanaamini mchezo wao dhidi Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 30 utakuwa na ushindani mkubwa ila wamejipanga kupata pointi tatu muhimu. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Serena Hotel, Manara amesema kuwa wanatambua mchezo utakuwa na ushindani kwa kuwa wanakutana na timu imara….
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Simba, Didie Gomes amesema ameomba kujiondoa kwenye klabu hiyo baada ya kushinfwa kufikia malengo kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. “Ninapenda kuwa muwazi kwa mashabiki na wapenzi wa mpira nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu nafasi yangu ya Ukocha Mkuu wa Simba Sc kwa sababu ninaamini ndiyo maamuzi sahihi kwa manufaa ya klabu.”…
KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano. Hatua hii inakuja ikiwa ni siku mbili tangu Simba alipoondoshwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kupokea kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa Jwaneng Galaxy ya Botswana, juzi…