
NYOTA SIMBA AIPA UBINGWA YANGA
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Simba, raia wa Ghana Nicholas Gyan amesema kuwa Yanga ya msimu huu ni bora kuliko Yanga zote za misimu minne iliyopita na ina nafasi ya kutwaa ubingwa. Gyan alisema Simba hawatakiwi kubweteka badala yake wawe makini kwa kuwa mwenendo wa Yanga ya msimu huu unaonekana bora sana na kila…