
ILIKUWA KAZIKAZI AZAM FC V SIMBA NANGWANDA
HAMNA namna ilikuwa ni lazima mshindani apatikane ndani ya dakika 90 kila shabiki anarejea na alichokivuna kutoka kwa timu yake. Wale wa Simba ni safari ndefu kutoka Uwanja wa Nangwanda Sijaona mpaka kule wanakoelekea labda iwe ni Njombe ama Dar lakini wa Azam FC ni burudani tosha. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni…