
AFCON IPO VIZURI, MAANDALIZI MUHIMU
UWEKEZAJI mkubwa ambao unafanyika kwenye soka la Tanzania unaonekana. Kila siku milango ya fursa inazidi kufunguka, hili ni jambo kubwa ambalo linapaswa kuwa endelevu. Tumeona namna ambavyo nafasi ya dhahabu ya kuandaa AFCON 2023 ilitangazwa, nchi tatu za Afrika Mashariki kupewa jukumu hilo. Uganda, Kenya na Tanzania zina kazi ya kufanya kwa maandalizi. Hii ina…