
MAKAMBO APIGA HESABU HIZI KUELEKEA DESEMBA 11
HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga ameweka wazi kuwa ikiwa atapata nafasi ya kuanza kwenye mchezo wa Kariakoo, Dabi Desemba 11 mbele ya Simba atapambana kwa kushirikiana na wachezaji wenzake ili kupata ushindi. Hesabu hizo ndefu za Makambo zinakuja ikiwa zimebaki siku tano kabla ya mchezo huo kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo Yanga imekuwa kwenye…