
AZAM FC KAMILI KUWAVAA WAARABU WA MISRI LEO
GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa vijana wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo Oktoba 23 dhidi ya Waarabu wa Misri, Pyramids FC ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa vijana wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi kwenye…