YANGA KAZINI LEO KUIVAA POLISI TANZANIA
BAADA ya kutwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba,Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo Agosti 16 inafungua ukurasa kwenye Ligi Kuu Bara kwa kusaka ushindi mbele ya Polisi Tanzania. Yanga waliweza kutetea taji lao la kwanza ambalo walitwaa msimu uliopita wa 2021/22 ambapo walitwaa taji hilo kwa ushindi…