
SIMBA KUMCHOMOA KIUNGO KUTOKA KWA WAARABU
IMEELEZWA kuwa miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye hesabu za kuweza kusajiliwa ndani ya Simba ni pamoja na kiungo Luis Miquissone. Nyota huyo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2020/21 na alijiunga na Al Ahly msimu wa 2021/22 ambapo kwa sasa bado yupo huku nchini Misri. Waarabu hao wa Misri msimu huu wamekwama kushinda taji…