Friday, May 17, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7858 POSTS 0 COMMENTS

NENO LA PABLO KUHUSU MCHEZO WA TAIFA STARS V DR CONGO

0
PABLO Franco, Kocha Mpya wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo uliowaachia maumivu Watanzania wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia ulikuwa ni wa viwango vikubwa. Novemba...

WASHINDI WA MKWANJA WA JACKPOT WAVUNA MINOTI

0
WASHINDI wa Jackpot bonus ya Kampuni ya SportPesa wamezidi kujazwa minoti baada ya kupata ushindi katika ubashiri wao waliofanya. Hawa ni Washindi wa Jackpot bonus kutoka...

SIMULIZI YA MSOMI ALIYETUSUA KATIKA KAZI YA UDAKTARI

0
SIMULIZI ya msomi aliyeweza kutusua katika kazi ya udaktri Nilijitahidi mno kutia bidii tangia nipo shule ya msingi na kuibuka na alama zilizoniwezesha kujiunga na...

RUVU SHOOTING HESABU ZAO HIZI HAPA

0
  MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ubora wa kikosi ambacho eanacho kwa sasa hawana wasiwasi na mechi za Ligi Kuu Bara. Bwire...

YANGA:MOTO HUU HAUZIMI

0
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetamba kuwa moto walioanza nao kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu hauzimiki, bali wataendelea kukusanya pointi tatu katika kila...

HUU HAPA MSHAHARA KOCHA MPYA SIMBA

0
BAADA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya kikosi cha Simba, Pablo Franco raia wa Hispania anatajwa kuingia kwenye orodha ya makocha ambao...

POGBA MAJANGA MATUPU

0
KIUNGO wa kati wa Manchester United Paul Pogba hatoshiriki katika mechi ya michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia baada ya kupata jeraha la...

CHAMPIONI IJUMAA, SOLSKJAER AAMBIWA KAFIKA MWISHO

0
WESTBROOK aibeba Lakers usiku, Wright asema jamani Solskjaer kafika mwisho ni ndani ya Championi Ijumaa

CHAMPIONI IJUMAA KUNA ISHU YA CHAMA NA IBENGE

0
JEURI ya pesa, tajiri aandaa kufuru Yanga,Ibenge afunguka kumuweka benchi Chama ndani ya Championi Ijumaa, ukurasa wa mbele nakala yake ipo mtaani ni 800

TAIFA STARS YAPOTEZA KWA MKAPA

0
IKIWA uwanja wa Mkapa leo Novemba 11, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya DRC Congo. Ilikuwa ni...

KOCHA WA SIMBA KUIBUKIA KWA MKAPA

0
PABLO Franco, raia wa Hispania leo Novemba 11,2021 anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaoshuhudia mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya Timu ya...

STEVEN GERRARD KOCHA MPYA ASTON VILLA

0
Nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Steven Gerrard,  leo Novemba 11, 2021 ametangazwa rasmi kuwa Meneja mpya...

MAKIPA BONGO NA MIGUSO YAO YA MAANA

0
MAKIPA wengi kazi yao ni kuzuia michomo kuingia ndani ya lango ila wamekuwa pia na mchango kwenye miguso ya mwisho inayosababisha kupatikana kwa ushindi...

KOCHA DR CONGO ATABIRI MATOKEO MECHI YA LEO

0
MWINYI Zahera, aliyekuwa kocha msaidizi ndani ya timu ya taifa ya DR Congo amesema kuwa matokeo ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu Kombe...

NAFASI YA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA NI 50/50

0
NAFASI ya Tanzania kuhusu kufuzu Kombe la Dunia kweda Hatua ya Play off naiona ni 50/ 50 yaani lolote linaweza kutokea kwenye mpira maana...

KOCHA MPYA SIMBA ACHAMBULIWA NAMNA HII NA IBENGE

0
KOCHA mkuu wa RS Berkane ya nchini Morroco, Florent Ibenge amesema kuwa klabu ya Simba imepata moja kati ya makocha wakubwa ambao wamepata uzoefu...