
ENGLAND HAO 16 BORA KOMBE LA DUNIA
NYOTA Marcus Rasford alikuwa kwenye ubora wakati timu ya taifa ya England ikiwatungua mabao 3-0 Wales kwenye mchezo wa hatua ya makundi, Kombe la Dunia Qatar. Ni dakika ya 50 na 68 nyota huyo alifunga huku bao lingine likiwa ni mali ya Phil Foden dakika ya 51 kwenye mchezo huo wa kundi B uliokuwa na…