Saturday, May 18, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7870 POSTS 0 COMMENTS

MERIDIANBET WAWATEMBELEA BODA BODA, WAWAPA UJUMBE USALAMA NI MUHIMU

0
Meridianbet Tanzania wameendelea na utaratibu wao wa kuwa karibu na jamii, kwa kutoa sapoti kwa vijana katika shughuli zao za kuutafuta mkate wa kila...

MAANDALIZI MUHIMU KWA SERENGETI GIRLS

0
KUWEZA kufuzu Kombe la Dunia ni hatua moja muhimu na kuweza kufanya maandalizi mazurini hatua ambayo inahitajika kuweza kufanyika kwa sasa. Tunaona kwamba Serengeti Girls...

SIMBA WATAMBA,NABI ASHUSHA PRESHA AITANGAZIA KIAMA SIMBA

0
SIMBA watamba,waambieni waache kujifananisha na sissi,Nabi ashusha presha Yanga ndani ya Championi Jumatatu

HAJI MANARA NA INJINIA WAITWA KWENYE KAMATI YA MAADILI

0
KITENDO cha kuibuka Uwanja wa Mkapa,Agosti 6,2022 na kuwatambulisha wachezaji, Haji Manara aliyekuwa msemaji wa Yanga akiwa kifungoni kimemrejesha kwa mara nyingine Kamati ya...

JONAS MKUDE NI MKALI WAO SIMBA,ANASTAHILI PONGEZI KIDOGO

0
KWENYE tamasha la leo la Simba Day ambalo linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa kwa mastaa wa Simba kuna Legend mmoja anaitwa Jonas Mkude. Kiungo huyo...

PITSO:YANGA INAHITAJI MUDA KUWA IMARA

0
KOCHA mwenye uzoefu mkubwa Afrika raia wa Afrika Kusini ambaye aliweza kubwaga manyanga ndani ya Klabu ya Al Ahly ya Misri,Pitso Mosimane amesema kuwa...

GEITA GOLD WASHUSHA MTU MWINGINE WA KAZI

0
 WACHIMBA madini,Geita Gold hawatanii kwa kuwa wana jambo lao na leo Agosti 7,2022 wameweza kumtambulisha nyota mpya katika kikosi hicho. Timu hiyo inakwenda kushiriki mashindano...

MSERBIA MPYA WA SIMBA AMEANZA KAZI BAADA YA KUTAMBULISHWA

0
MSERBIA wa Simba muda mfupi baada ya kutambulishwa leo alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao wamefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa. Nyota huyo ametambulishwa leo...

SINGIDA BIG STARS INAFIKIRIA KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Singida Big Stars,umeweka wazi kwamba malengo yao ni kumaliza katika nne za juu ili waweze kushiriki mashindano ya kimataifa. Timu hiyo ambayo inatumia...

TIMU YA TAIFA BEACH SOCCER KAZINI LEO

0
LEO kikosi cha Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ kitakuwa na mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON (BSAFCON) dhidi ya Malawi...

UZI MPYA WA SIMBA WAZINDULIWA

0
 LEO Agosti 7,2022 washindi wa pili ndani ya Ligi Kuu Bara,Simba wamezindua uzi wao mpya ambao utatumika kwa msimu wa 2022/23. Ni Sinza,madukani ilipo ofisi...

AZAM FC WAJA NA AZAMKA

0
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu huu wanakuja tofatauti katika tamasha lao ambapo litakuwa mikononi mwa mashabiki.  Thabit Zakaria,Ofisa Habari wa Azam FC...

UZI MPYA SIMBA KUTAMBULISHA,SIMBA DAY KUWA YA KIPEKEE

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tamasha la Simba Day mwaka huu litakuwa la kipekee tofauti na zama. Ahmed Ally,Mkuu wa Idara ya Habari na...

HAJI MANARA:NILIKUJA KAMA MSHEREHESHAJI TU

0
HAJI Mnara,amesema kuwa kwenye tamasha la Wiki ya Mwananchi amehudhuria pale akiwa ni MC na sio msemaji wa Yanga. Agosti 6,2022 katika kilele cha Wiki...

MANZOKI:TULIENI NAKUJA SIMBA,YANGA YAFUNIKA

0
MANZOKI:Tulieni nakuja Simba,Yanga yafunika ndani ya Spoti Xtra Jumapili

YANGA YAAMBULIA KICHAPO MBELE YA VIPERS SC

0
 DAKIKA 90 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 0-2 Vipers SC kwenye mchezo wa kirafiki. Mchezo wa leo ulikuwa maalumu kwa ajili...

BM 33:NIMERUDI JAMANI,AOMBA MSAMAHA KWA MASHABIKI

0
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison ambaye amerejea katika kikosi hicho kwa kusaini dili la miaka miwili ameweka wazi kuwa anahitaji msamaha kwa yale ambayo...