Saturday, May 4, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7758 POSTS 0 COMMENTS

MATOLA:WACHEZAJI WANAFURAHIA MAZOEZI,KESHO TENA

0
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wamezidi kuyafurahia mazoezi ambayo wanayafanya nchini Misri na wanapiga hatua kila wakati. Kikosi hicho kwa sasa...

KOCHA MPYA TANZANIA NI MRUNDI

0
JOSLIN Sharif Bipfubusa raia wa Burundi  ametambulishwa rasmi leo Julai 26,2022 kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Ni mkataba wa mwaka mmoja amepewa kocha huyo...

NBC WATOA FIDIA YA BIMA TABORA

0
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dk. Batilda Buriani ametoa hundi kwa vyama vya Ushirika (AMCOS) mkoani Tabora ikiwa ni sehemu ya fidia ya hasara...

MANARA:SIHITAJI KUONEWA HURUMA

0
MSEMAJI wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa hahitaji kupata huruma kutoka kwenye mamlaka kutokana na kuweza kupewa adhabu ya kufungiwa miaka miwili pamoja na...

TAIFA STARS MNA DENI KWA WATANZANIA,INAWEZEKANA

0
ILIKUWA ngumu kuweza kupata ushindi kwenye mchezo wa kwanza kutokana na mbinu kuonekana kuwa ngumu pia kwa timu zote mbili. Hakika kwa mwanzo mkiwa nyumbani...

SINGIDA UNITED CHIMBO LAO ARUSHA

0
HUSSEIN Massanza,Ofisa Habari wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 yanakwenda vizuri. Timu hiyo ambayo imepanda Ligi...

NEYMAR JR AGOMEA ISHU YA KUONDOKA PSG

0
 NYOTA wa Klabu ya PSG,Neymar Jr amebainisha kuwa anataka kubaki ndani ya timu hiyo japo hakuna ambaye amezungumza naye kujua hatma yake. Mkataba wake ndani...

MWAMBA HUYU KUCHUKUA MIKOBA YA SAKHO SIMBA

0
 JEAN Morel Poé,anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili endapo tu Pape Ousmanne Sakho atauzwa kwenda Wydad...

NABI AANZA NA MAMBO MANNE YANGA,SIMBA YAMPANDIA NDEGE MANZOKI

0
NABI aanza na mambo 4 Yanga,Kigogo Simba ampandia ndege Manzoki,ndani ya Spoti Xtra Jumanne

TFF YATOA TAMKO KUHUSU HAJI MANARA

0
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa...

MANARA AFUNGUKIA ISHU YA KUFUNGIWA ATUMA OMBI KWA WAZIRI

0
MSEMAJI wa Yanga Haji Manara ameongea na Waandishi wa Habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya...

GABRIEL ANAWANYOOSHA TU

0
 KIWANGO cha nyota wa Arsenal, Gabriel Jesus kimezidi kuwa moto baada ya wikiend kuweza kutupia mabao mengine. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Chelsea ambapo...

IHEFU ITAKUWA NA CHIRWA,NYOSSO NA YONDAN

0
BAADA ya mabosi wa Ihefu FC kumalizana na Obrey Chirwa inaelezwa kuwa anayefuata ni beki kitasa Kelvin Yondani ambaye ni mali ya Geita Gold. Ihefu...

ORODHA YA MASTAA SABA YANGA AMBAO BADO HAWAJATINGA AVIC

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa, mastaa 7 wa timu hiyo watajiunga na wenzao kambini mara baada ya kumaliza majukumu ya timu ya taifa...

MECHI YA AZAM V SIMBA HATIHATI MISRI

0
 ABDI Hamid Moallin,Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC ameweka wazi kuwa kunahatihati ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Simba kutochezwa kulingana na...

NI UTATU SIMBA,MORRISON AMNYANG’ANYA JEZI BEKI YANGA

0
NI utatu Simba,Morrison amnyang'anya jezi beki Yanga ndani ya Championi Jumatatu

YANGA:TUNAANZA NA SIMBA NGAO YA JAMII

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Ni Ngao ya Jamii Ligi Kuu Bara...