Thursday, April 25, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7685 POSTS 0 COMMENTS

AIR MANULA NI MNYAMA MPAKA 2025

0
 KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo. Awali nyota huyo...

SAUTI:SIMBA KUFUNGA USAJILI NA MASTAA HAWA WATATU

0
IKIWA imeweka kambini nchini Misri kwa ajili ya maanalizi ya msimu wa 2022/23 Simba inatarajiwa kufunga usajili wake na mastaa watatu

VIDEO:AISHI MANULA AWEKA WAZI MIPANGO

0
AISHI Manula kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanajifunza wanazidi kuimarika kuelekea mechi ya...

VIDEO:YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA KAMBI

0
UONGOZI wa Yanga umebainisha sababu ya kambi kuwekwa Dar pamoja na mipango ya Wiki ya Mwananchi

YANGA YAIFUNIKA VIBAYA SIMBA BONGO

0
 YANGA yaifunika vibaya Simba Bongo ndani ya Championi Jumatano

WIKI YA MWANANCHI KUANZA AGOSTI MOSI

0
WIKI ya Mwananchi itaanza rasmi Agosti Mosi mwaka huu wa 2022 ambapo wanatarajia kucheza mchezo na timu ya kimataifa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa...

AZAM FC KAMBI YAANZA RASMI

0
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa leo itakuwa ni siku rasmi ya mastaa wao kuweza kuanza kambi ya ndani kwa maandalizi ya msimu...

VIDEO:OSCAR OSCAR AWACHAMBUA BANGALA/OKRAA

0
MCHAMBUZI Oscar Oscar amewachambua mastaa wa Simba na Yanga ikiwa ni pamoja na Yannick Bangala,Augustino Okra

SAUTI:YANGA V SIMBA NI NOMA VIKOSI VYAO

0
KUELEKEA Simba v Yanga itakuwa ni noma kutokana na vikosi kuwa imara kwa timu zote msimu wa 2022/23

VIDEO:CHICO USHINDI,YACOUBA OUT YANGA

0
MASTAA wawili ndani ya Yanga, Chico Ushindi na Yacouba Songne hawatakuwa kwenye mpango wa kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23 ambapo leo Julai 19,2022...

SIMBA DAY NI AGOSTI 8,2022

0
 AGOSTI 8,2022 inatarajiwa kuwa siku rasmi ya Simba Day ambayo itafanyika Uwanja wa Mkapa. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wa...

VIDEO:TAZAMA MASTAA WA SIMBA PHIRI,INONGA NDANI YA MISRI

0
MASTAA watano wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Zoran Maki wamewasili nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Ni Taddeo...

KAMBI YA YANGA RAMANI INACHORWA HIVI

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa wanafanya vikao kuweza kujadili wapi wataweka kambi kwa msimu wa 2022/23. Awali mpango namba moja wa Yanga...

MNIGERIA WA SIMBA AWAPIGA MKWARA YANGA

0
KIUNGO mpya wa Simba, Mnigeria, Victor Akpan, ameanza kwa kuwachimba mkwara wapinzani wao Yanga kwa kuwaambia kuwa wasubirie moto wake katika mchezo wa Ngao...

KAMBI POPOTE,TUWAPE WAZAWA MAJINA MAZURI

0
WAKATI timu kwa sasa zikipambana kusajili wachezaji na kushindana sehemu ya kuweka kambi ulikuwa muda sahihi wa kutambulisha uzi mpya wa msimu wa 2022/23   Kuweka...

MILIONI 116 ZAMPELEKA OUATTARA SIMBA,KOCHA YANGA AVUNJA UKIMYA

0
MILIONI 116 zampeleka Ouattara Simba,vigogo Yanga wakutana Dar ndani ya Spoti Xtra Jumanne

MALALE HAMSINI YATIMIA BAADA YA MUDA MREFU

0
RASMI uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara umethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu wa...