Monday, April 29, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7721 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA KURUDI KWA KASI MSIMU UJAO,NYOTA WAPYA WATAJWA

0
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa usajili ambao umefanywa kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho kunawafanya warudi msimu ujao wakiwa na kasi...

YANGA KILA MWAKA KUVUNA BILIONI 4 KUTOKA KAMPUNI YA SPORTPESA TANZANIA

0
KAMPUNI ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa imeingia mkataba wa makubaliano wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.33 na Yanga SC kwa kipindi cha miaka...

SAUTI:MGAWANYO WA BILIONI 26 ZA SIMBA

0
SIMBA inanukia fedha baada ya kusaini dili na M Bet lenye tahamani ya bilioni 26.1 mkwanja ambao unatajwa kutolewa kwa mafungu kila mwaka kukiwa...

RATIBA NI PASUA KICHWA KWA NABI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana...

SAUTI:YANGA KUMSHUSHA MANZOKI WA SIMBA DAR

0
YANGA kumshusha Dar Manzoki kwenye Wiki ya Mwananchi ambayo inatarajiwa kufika kilele chake Agosti 6,Uwanja wa Mkapa

KIUNGO MPYA SIMBA ANAFIKIRIA MAKOMBE

0
KIUNGO Mnigeria Victor Akpan ambaye ametambulishwa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kwa msimu ujao anaamini kuwa watashinda makombe baada ya timu hiyo kuwa...

BALAA LA DATA ZA SOPU STARS HILI HAPA

0
MCHEZO wa kwanza walipokutana aliwafunga ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Somalia 0-1 Tanzania walipokutana mara ya pili akawafunga tena. Anaitwa Abdul Suleiman,’Sopu’ kiungo mshambuliaji...

SIMBA INANUKIA FEDHA,YANGA MAMBO BYUTI BYUTI

0
Simba inanukia fedha,Yanga mambo byuti byuti,ndani ya Spoti Xtra Jumanne

PSG WAANZA MSIMU KWA TAJI

0
PARIS Saint Germain,(PSG) wamefanikiwa kufungua msimu wa 2022/23 kwa kutwaa taji la Trophee des Champions ambapo Lionel Mess,Neymar Jr na Sergio Ramos waliweza kufanya...

ATAKAYEVAA KITAMBAA KWA WASHIKA BUNDUKI NI ODE

0
KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kuwa ni nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023. Arsenal ilimsajili mchezaji huyo kutoka timu ya Real Madrid...

KIUNGO MUDHATHIR APEWA MKONO WA ASANTE AZAM FC

0
KIUNGO wa kazi Mudhathir Yahya hatakuwa sehemu ya kikosi cha Azam FC baada ya mkataba wake kuisha na mabosi wake hao kuamua kutomuongezea mkataba...

YANGA KILA KITU NI BYUTIBYUTI

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea Wiki ya Mwananchi,Agosti 6,2022 kila kitu Byuti Byuti kama ilivyo slogan yao kwa mwaka huu. Makamu wa Rais...

SAUTI:AZAM FC KAZI INAENDELEA,WAKAMILISHA ICT

0
AZAM FC bado wanendelea na kambi nchini Misri ambapo kwa sasa wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23,kwa mujibu wa Ofisa...

MKATABA WA SIMBA NA M-BET BILIONI 26

0
MTEDAJI Mkuu wa Simba,Barbara Gonzale amesema kuwa leo ni kubwa kwa Simba na kampuni ya kubashiri ya M-Bet ambao ni wadhamini wao wakuu walioweka...

MENEJA MPYA YANGA ATOA SHUKRANI ZAKE KMC

0
WALTER Harson aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa KMC ameweza kuwashukuru maosi wake hao na sasa anakwenda kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Yanga. Ujumbe wake...

TAIFA STARS WANASTAHILI PONGEZI KIDOGO

0
USHINDI unaleta furaha,ushindi unaleta kicheko ushindi unarejesha lile tabasamu ambalo lilikuwa limejificha kwenye sura ya yule aliyekuwa na makasiriko. Unadhani ushindi unaleta hayo tu,hapana kuna...

YANGA YATAMBA KUKOMBA KILA KITU

0
NDANI ya Yanga kwa sasa ni raha na vicheko tu kutokana na fedha ambazo zinaendelea kuingia kwenye timu hiyo kupitia wadhamini ambapo mabosi wa...